Admin: 0673449030 info@kfmicrocredit.com Dar es Salaam, Tanzania
KF Microcredit
Huduma za mikopo kwa urahisi, uwazi na uhakika.
Customer Registration

Jisajili kama mteja na anza kutumia huduma za mfumo

Ukishajisajili utatengenezewa account ya kuingia kwenye mfumo pamoja na borrower profile ya kutumia kwenye maombi ya mkopo na huduma nyingine za mteja.

Account ya Mteja

Utapata account yako ya kuingia kama borrower/customer.

Borrower Profile

Taarifa zako zitaingia pia kwenye borrower records tayari kwa maombi ya mkopo.

Ready kwa Loan Application

Baadaye utaweza kuingia na kuomba mkopo kama mteja wa mfumo.

Register Account
Jaza taarifa zako sahihi ili kutengeneza account ya mteja.